Yobu 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika wake huwahesabia kosa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa; Biblia Habari Njema - BHND Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata watumishi wake, Mungu hana imani nao; na malaika wake huwaona wana kosa; Neno: Bibilia Takatifu Ikiwa Mungu hawaamini watumishi wake, ikiwa yeye huwalaumu malaika wake kwa kukosea, Neno: Maandiko Matakatifu Kama Mungu hawaamini watumishi wake, kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea, BIBLIA KISWAHILI Tazama, yeye hawategemei watumishi wake; Na malaika wake huwahesabia kosa; |
Basi mtu awezaje kuwa na haki mbele ya Mungu? Au awezaje kuwa safi aliyezaliwa na mwanamke?
Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni, akawatia katika vifungo vya giza, walindwe hata ije hukumu;
Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.