Yobu 4:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kunguruma kwake simba, na sauti ya simba mkali, Na meno ya simba wachanga, yamevunjika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa. Biblia Habari Njema - BHND Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waovu hunguruma kama simba mkali, lakini meno yao huvunjwa. Neno: Bibilia Takatifu Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. Neno: Maandiko Matakatifu Simba anaweza kunguruma na kukoroma, lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. BIBLIA KISWAHILI Kunguruma kwake simba, na sauti ya simba mkali, Na meno ya simba wachanga, yamevunjika. |
Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari.
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.
Nafsi yangu i kati ya simba, Nitastarehe kati yao waliowaka moto. Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale, Na ndimi zao ni upanga mkali.
Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.