Yobu 39:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hukaa jabalini, ndiko kwenye malazi yake, Juu ya genge la jabali, na ngomeni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tai hufanya makazi yake juu ya miamba mirefu, na ncha kali za majabali ndizo ngome zake. Biblia Habari Njema - BHND Tai hufanya makazi yake juu ya miamba mirefu, na ncha kali za majabali ndizo ngome zake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tai hufanya makazi yake juu ya miamba mirefu, na ncha kali za majabali ndizo ngome zake. Neno: Bibilia Takatifu Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. Neno: Maandiko Matakatifu Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. BIBLIA KISWAHILI Hukaa jabalini, ndiko kwenye malazi yake, Juu ya genge la jabali, na ngomeni. |
Na katikati ya mapito, ambayo Yonathani alitaka kuipitia ili kuifikia hiyo ngome ya Wafilisti, palikuwa na kilima cha mwamba upande huu, na kilima cha mwamba upande huu; kimoja kiliitwa Bosesi, na cha pili Sene.