Kila ipigwapo baragumu yeye husema, Aha! Naye husikia harufu ya vita toka mbali, Mshindo wa makamanda, na makelele.
Yobu 39:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Mwewe huruka juu kwa akili zako, Na kuyanyosha mabawa yake kwenda kusini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Je, mwewe amejifunza kwako jinsi ya kuruka, na kunyosha mabawa yake kuelekea kusini? Biblia Habari Njema - BHND “Je, mwewe amejifunza kwako jinsi ya kuruka, na kunyosha mabawa yake kuelekea kusini? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Je, mwewe amejifunza kwako jinsi ya kuruka, na kunyosha mabawa yake kuelekea kusini? Neno: Bibilia Takatifu “Je, mwewe huruka kwa hekima yako na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, mwewe huruka kwa hekima yako na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini? BIBLIA KISWAHILI Je! Mwewe huruka juu kwa akili zako, Na kuyanyosha mabawa yake kwenda kusini? |
Kila ipigwapo baragumu yeye husema, Aha! Naye husikia harufu ya vita toka mbali, Mshindo wa makamanda, na makelele.
Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za BWANA.
Na Haruni atamsongeza ng'ombe wa sadaka ya dhambi, aliye kwa ajili ya nafsi yake, na kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, na kwa ajili ya nyumba yake; naye atamchinja yule ng'ombe wa sadaka ya dhambi, aliye kwa ajili ya nafsi yake.