Yobu 39:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Podo humpigia makelele, Mkuki ung'aao na fumo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kungaa juani. Biblia Habari Njema - BHND Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kungaa juani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Silaha wachukuazo wapandafarasi, hugongana kwa sauti na kung'aa juani. Neno: Bibilia Takatifu Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong’aa na fumo. Neno: Maandiko Matakatifu Podo hutoa sauti kando yake, pamoja na mkuki unaong’aa na fumo. BIBLIA KISWAHILI Podo humpigia makelele, Mkuki ung'aao na fumo. |
Ngao ya mashujaa wake imefanywa kuwa nyekundu, watu walio hodari wa vita wamevaa nguo nyekundu sana; magari ya vita yametameta kwa chuma cha pua siku ya kukusanywa kwake, na mikuki inatikiswa kwa namna ya kutisha.