Yeye huwatendea ukatili makinda yake, kama kwamba si yake; Ijapokuwa kazi yake yaweza kuwa ya bure, yeye hana hofu;
Yobu 39:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye hufanyia kicho dhihaka, wala hashangai; Wala hageuki kurudi nyuma mbele ya upanga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Farasi huicheka hofu, na hatishiki; wala upanga hauwezi kumrudisha nyuma. Biblia Habari Njema - BHND Farasi huicheka hofu, na hatishiki; wala upanga hauwezi kumrudisha nyuma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Farasi huicheka hofu, na hatishiki; wala upanga hauwezi kumrudisha nyuma. Neno: Bibilia Takatifu Huicheka hofu, haogopi chochote, wala haukimbii upanga. Neno: Maandiko Matakatifu Huicheka hofu, haogopi chochote, wala haukimbii upanga. BIBLIA KISWAHILI Yeye hufanyia kicho dhihaka, wala hashangai; Wala hageuki kurudi nyuma mbele ya upanga. |
Yeye huwatendea ukatili makinda yake, kama kwamba si yake; Ijapokuwa kazi yake yaweza kuwa ya bure, yeye hana hofu;
Kelele za mjeledi, kelele za magurudumu yafanyayo kishindo; na farasi wenye kuparapara, na magari ya vita yenye kurukaruka;