Tamko alilolitamka BWANA katika habari zake ndilo hili, Bikira, binti Sayuni, amekudharau, na kukudhihaki sana; binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake juu yako.
Yobu 39:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakati anapojiinua juu aende, Humdharau farasi na mwenye kumpanda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini akianza kukimbia, humcheka hata farasi na mpandafarasi. Biblia Habari Njema - BHND Lakini akianza kukimbia, humcheka hata farasi na mpandafarasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini akianza kukimbia, humcheka hata farasi na mpandafarasi. Neno: Bibilia Takatifu Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. BIBLIA KISWAHILI Wakati anapojiinua juu aende, Humdharau farasi na mwenye kumpanda. |
Tamko alilolitamka BWANA katika habari zake ndilo hili, Bikira, binti Sayuni, amekudharau, na kukudhihaki sana; binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake juu yako.
Je! Wewe ulimpa farasi uwezo wake? Au, ni wewe uliyemvika shingo yake manyoya yatetemayo?