Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?
Yobu 39:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Wajua majira ya kuzaa kwao mbuzi-mwitu walio majabalini? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa? Biblia Habari Njema - BHND “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Je, wajua mbuzi wa milimani huzaa lini, au umewahi kuona kulungu akizaa? Neno: Bibilia Takatifu “Je, unajua wakati mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, unatambua wakati kulungu jike anapozaa mtoto wake? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, wajua ni wakati gani mbuzi wa mlimani wanapozaa? Je, watambua ni wakati gani kulungu jike azaapo mtoto wake? BIBLIA KISWAHILI Je! Wajua majira ya kuzaa kwao mbuzi-mwitu walio majabalini? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu? |
Je! Waweza kuhesabu miezi yao watakayoitimiza? Au waweza kusema majira ya kuzaa kwa kulungu?
Sauti ya BWANA yawazalisha ayala, Na kuiacha misitu wazi; Na ndani ya hekalu lake Wanasema, Utukufu!
kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
Ndipo Sauli akatwaa watu elfu waliochaguliwa katika Israeli wote, akaenda kumtafuta Daudi na watu wake juu ya majabali ya mbuzi-mwitu.