Yobu 38:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Utamwindia simba mke mawindo? Au utashibisha njaa ya simba wachanga, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Je, waweza kumwindia simba mawindo yake au kuishibisha hamu ya wana simba; Biblia Habari Njema - BHND “Je, waweza kumwindia simba mawindo yake au kuishibisha hamu ya wana simba; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Je, waweza kumwindia simba mawindo yake au kuishibisha hamu ya wana simba; Neno: Bibilia Takatifu “Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa Neno: Maandiko Matakatifu “Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa BIBLIA KISWAHILI Je! Utamwindia simba mke mawindo? Au utashibisha njaa ya simba wachanga, |
Wanasimba hutindikiwa, na kuona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawapungukiwi kitu chochote kilicho chema.