Yobu 38:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maji hugandamana kama jiwe, Na uso wa vilindi huganda kwa baridi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda. Biblia Habari Njema - BHND Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maji hugeuka kuwa magumu kama jiwe, na uso wa bahari ukaganda. Neno: Bibilia Takatifu wakati maji yanakuwa magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unaganda? Neno: Maandiko Matakatifu wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? BIBLIA KISWAHILI Maji hugandamana kama jiwe, Na uso wa vilindi huganda kwa baridi. |