Na mpaka wa Wakanaani ulianza kutoka Sidoni kwa njia ya Gerari hata Gaza; tena kwa njia ya Sodoma, na Gomora, na Adma, na Seboimu, hata Lasha.
Yobu 38:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuyaelewa mapito ya kuiendea nyumba yake? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake. Biblia Habari Njema - BHND ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ili upate kulipeleka kwenye makao yake, na kuifahamu njia ya kwenda huko kwake. Neno: Bibilia Takatifu Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? Neno: Maandiko Matakatifu Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake? BIBLIA KISWAHILI Upate kuipeleka hata mpaka wake, Upate kuyaelewa mapito ya kuiendea nyumba yake? |
Na mpaka wa Wakanaani ulianza kutoka Sidoni kwa njia ya Gerari hata Gaza; tena kwa njia ya Sodoma, na Gomora, na Adma, na Seboimu, hata Lasha.
Basi shamba la Efroni lililokuwa katika Makpela kuelekea Mamre, shamba, na pango lililokuwemo, na miti yote iliyokuwamo shambani, iliyokuwa katika mipaka yake pande zote, vyote viliyakinishwa