Yobu 38:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hubadilika mfano wa udongo chini ya mhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri. Biblia Habari Njema - BHND Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Dunia hugeuka na kupata rangi kama vazi; kama udongo wa mfinyanzi unavyogeuzwa na mhuri. Neno: Bibilia Takatifu Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya muhuri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. Neno: Maandiko Matakatifu Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; sura yake hukaa kama ile ya vazi. BIBLIA KISWAHILI Hubadilika mfano wa udongo chini ya mhuri, Vitu vyote vinatokea kama mavazi. |