Yobu 38:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ili lipate kuikamata dunia kwa pembe zake na kuwatimulia mbali waovu waliomo? Biblia Habari Njema - BHND ili lipate kuikamata dunia kwa pembe zake na kuwatimulia mbali waovu waliomo? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ili lipate kuikamata dunia kwa pembe zake na kuwatimulia mbali waovu waliomo? Neno: Bibilia Takatifu yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakung’uta waovu waliomo? Neno: Maandiko Matakatifu yapate kushika miisho ya dunia, na kuwakung’uta waovu waliomo? BIBLIA KISWAHILI Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo? |
Wenye dhambi waangamizwe katika nchi, Watendao ubaya wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Musa akaunyosha mkono wake juu ya bahari, na kulipopambazuka, bahari ikarudi kwa nguvu zake; Wamisri wakajaribu kuyakimbia maji na BWANA akawaangamiza hao Wamisri katika bahari.