Yobu 37:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Dhoruba hutoka katika vyumba vyake; Na baridi ghalani mwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Dhoruba huvuma kutoka chumba chake, na baridi kali kutoka ghalani mwake. Biblia Habari Njema - BHND Dhoruba huvuma kutoka chumba chake, na baridi kali kutoka ghalani mwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Dhoruba huvuma kutoka chumba chake, na baridi kali kutoka ghalani mwake. Neno: Bibilia Takatifu Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi. Neno: Maandiko Matakatifu Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi. BIBLIA KISWAHILI Dhoruba hutoka katika vyumba vyake; Na baridi ghalani mwake. |
Yeye afanyaye hizo nyota za Dubu, na Orioni, na hicho Kilimia, Na makundi ya nyota ya kusini.
Na kuziweka nguzo za ghorofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,
Ufunuo juu ya nyika kando ya bahari. Kama tufani za Negebu zikaribiavyo kwa kasi, inakuja kutoka kwa nyika, toka nchi itishayo.
Naye BWANA ataonekana juu yao, Na mshale wake utatoka kama umeme; Na Bwana MUNGU ataipiga tarumbeta, Naye atakwenda kwa pepo za kisulisuli za kusini.