Hapo wanyama huingia mafichoni, Na kukaa katika mapango yao.
Wanyama wa porini hurudi mafichoni mwao, na hubaki katika mapango yao.
Wanyama hujificha; hubakia kwenye mapango yao.
Waoteapo mapangoni mwao, Wakaapo mafichoni wapate kuvizia?
Wanasimba hunguruma wakitaka mawindo, Wakitafuta chakula chao kutoka kwa Mungu.
Jua linapochomoza, wanakwenda zao, Na kujilaza mapangoni mwao.