Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea; Na uso wa maji huganda punde.
Kwa pumzi ya Mungu barafu hutokea, uso wa maji huganda kwa haraka.
Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda.
Aliiharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe, Na mikuyu yao kwa mawe ya barafu.