Yobu 35:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini sasa, kwa sababu yeye hakukujia katika hasira zake, Wala hauzingatii sana makosa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake, wala hajali sana makosa ya watu, Biblia Habari Njema - BHND Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake, wala hajali sana makosa ya watu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sasa, kwa vile Mungu anazuia hasira yake, wala hajali sana makosa ya watu, Neno: Bibilia Takatifu pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo? Neno: Maandiko Matakatifu pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo? BIBLIA KISWAHILI Lakini sasa, kwa sababu yeye hakukujia katika hasira zake, Wala hauzingatii sana makosa; |
Ijapokuwa mwenye dhambi amefanya maovu mara mia na akazidisha siku zake; lakini hata hivyo najua hakika ya kwamba itakuwa heri kwao wamchao Mungu, wenye kicho mbele zake;
BWANA akamwambia Musa na Haruni, Kwa kuwa hamkuniamini mimi, ili kunistahi mbele ya macho ya wana wa Israeli, basi kwa sababu hiyo, hamtawaingiza kusanyiko hili katika ile nchi niliyowapa.
Na tazama! Utakuwa bubu, usiweze kusema, mpaka siku ile yatakapotukia hayo, kwa sababu hukuyasadiki maneno yangu; nayo yatatimizwa kwa wakati wake.