Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Yobu 34:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Ni mtu gani mfano wa Ayubu, Anywaye mzaha kama maji? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ni nani aliye kama Yobu ambaye kwake ubaradhuli ni kama kunywa maji? Biblia Habari Njema - BHND Ni nani aliye kama Yobu ambaye kwake ubaradhuli ni kama kunywa maji? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ni nani aliye kama Yobu ambaye kwake ubaradhuli ni kama kunywa maji? Neno: Bibilia Takatifu Ni mtu gani aliye kama Ayubu, anywaye dharau kama maji? Neno: Maandiko Matakatifu Ni mtu gani aliye kama Ayubu, anywaye dharau kama maji? BIBLIA KISWAHILI Je! Ni mtu gani mfano wa Ayubu, Anywaye mzaha kama maji? |
Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Mimi ni mtu wa kuchekwa na jirani yake, Ni mtu niliyemwita Mungu, naye akanijibu; Huyo mwenye haki, aliye mtimilifu, amekuwa ni kicheko.
Sembuse mtu ambaye ni mwenye kuchukiza na uchafu, Mwanadamu anywaye uovu kama anywavyo maji!
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
ikawa asikiapo maneno ya laana hii, ajibarikie mtu huyo moyoni mwake, na kusema, Nitakuwa katika amani, nijapotembea katika upotoe wa moyo wangu kwa kuangamiza mbichi na kavu;