Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye fahamu; Mungu asidhaniwe kutenda udhalimu; Wala Mwenyezi kufanya uovu.
Yobu 34:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Watu walio na akili wataniambia, Naam, kila mtu mwenye hekima anisikiaye; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu yeyote mwenye akili, na kila mwenye hekima anayenisikiliza atasema: Biblia Habari Njema - BHND Mtu yeyote mwenye akili, na kila mwenye hekima anayenisikiliza atasema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu yeyote mwenye akili, na kila mwenye hekima anayenisikiliza atasema: Neno: Bibilia Takatifu “Watu wenye ufahamu husema, wenye hekima wanaonisikia huniambia, Neno: Maandiko Matakatifu “Wanadamu wenye ufahamu husema, wenye hekima wanaonisikia huniambia, BIBLIA KISWAHILI Watu walio na akili wataniambia, Naam, kila mtu mwenye hekima anisikiaye; |
Kwa hiyo nisikilizeni, enyi wenye fahamu; Mungu asidhaniwe kutenda udhalimu; Wala Mwenyezi kufanya uovu.
Sikilizeni maneno yangu, enyi wenye hekima; Tegeni masikio kwangu, ninyi mlio na maarifa.
Je! Malipo yake yatakuwa kama upendavyo wewe, hata ukayakataa? Kwani yakupasa wewe kuchagua, si mimi; Kwa sababu hiyo sema uyajuayo.