Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?
Yobu 34:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikiwa una ufahamu, sikia neno hili; Isikilize sauti ya maneno yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kama una akili sikiliza; sikiliza ninachokuambia. Biblia Habari Njema - BHND “Kama una akili sikiliza; sikiliza ninachokuambia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kama una akili sikiliza; sikiliza ninachokuambia. Neno: Bibilia Takatifu “Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; sikilizeni hili nisemalo. Neno: Maandiko Matakatifu “Kama ninyi mnaufahamu, sikieni hili; sikilizeni hili nisemalo. BIBLIA KISWAHILI Ikiwa una ufahamu, sikia neno hili; Isikilize sauti ya maneno yangu. |
Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?
Je! Atatawala mtu aichukiaye haki hata mmoja? Nawe, je! Utamhukumia mkosa aliye na haki na mwenye nguvu?