Basi hao watu watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa sababu alikuwa mwenye haki machoni pake mwenyewe.
Yobu 33:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hakika umenena masikioni mwangu, Nami nimesikia sauti ya maneno yako, ukisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kweli umesema, nami nikasikia; nimeyasikia yote uliyosema. Biblia Habari Njema - BHND Kweli umesema, nami nikasikia; nimeyasikia yote uliyosema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kweli umesema, nami nikasikia; nimeyasikia yote uliyosema. Neno: Bibilia Takatifu “Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nami nilisikia maneno yenyewe: Neno: Maandiko Matakatifu “Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nami nilisikia maneno yenyewe: BIBLIA KISWAHILI Hakika umenena masikioni mwangu, Nami nimesikia sauti ya maneno yako, ukisema, |
Basi hao watu watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa sababu alikuwa mwenye haki machoni pake mwenyewe.
Ndipo zikawaka hasira za huyo Elihu mwana wa Barakeli, Mbuzi, katika jamaa ya Ramu, juu ya Ayubu, kwa sababu alikuwa amejipa haki mwenyewe zaidi ya Mungu.
kwa sababu wametenda upumbavu katika Israeli, nao wamezini na wake za jirani zao, nao wamenena maneno ya uongo kwa jina langu, nisiyowaamuru; nami ndimi nijuaye, nami ni shahidi, asema BWANA.
ndipo nawe uulize na kutafuta, ukiuliza kwa bidii; nawe angalia, ikiwa kweli, na jambo lile halina shaka, kwamba machukizo mfano wa haya yafanyika katikati yako;