Yobu 33:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ikiwa unaweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nijibu, kama unaweza. Panga hoja zako vizuri mbele yangu, ushike msimamo wako. Biblia Habari Njema - BHND Nijibu, kama unaweza. Panga hoja zako vizuri mbele yangu, ushike msimamo wako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nijibu, kama unaweza. Panga hoja zako vizuri mbele yangu, ushike msimamo wako. Neno: Bibilia Takatifu Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi. Neno: Maandiko Matakatifu Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi. BIBLIA KISWAHILI Ikiwa unaweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame. |
Basi hao watu watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa sababu alikuwa mwenye haki machoni pake mwenyewe.
Naam, niliwasikiza ninyi, Na tazama, hapana mmoja aliyemshinda Ayubu, Wala kumjibu maneno yake, kati yenu.
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Lakini nitakukemea; Nitakuhukumu kwa hayo yote.
BWANA akamwambia Musa, Inuka asubuhi na mapema usimame mbele ya Farao; angalia! Atoka aende majini; kamwambie, BWANA asema, Wape watu wangu ruhusa waende zao, ili wanitumikie mimi.