Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki?
Yobu 33:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu. Biblia Habari Njema - BHND Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nitasema kadiri ya unyofu wa moyo wangu; ninayoyajua nitayasema kwa uaminifu. Neno: Bibilia Takatifu Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. Neno: Maandiko Matakatifu Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. BIBLIA KISWAHILI Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu. |
Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki?
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.