Yobu 32:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nitanena, ili nipate kutulia; Nitafunua midomo yangu na kujibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu. Biblia Habari Njema - BHND Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ni lazima niseme ili nipate nafuu; yanipasa kufungua kinywa changu na kujibu. Neno: Bibilia Takatifu Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. Neno: Maandiko Matakatifu Ni lazima niseme ili niweze kutulia; ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. BIBLIA KISWAHILI Nitanena, ili nipate kutulia; Nitafunua midomo yangu na kujibu. |
Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene?