Yobu 32:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuwa nimejaa maneno; Roho iliyo ndani yangu hunihimiza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ninayo maneno mengi sana, roho yangu yanisukuma kusema. Biblia Habari Njema - BHND Ninayo maneno mengi sana, roho yangu yanisukuma kusema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ninayo maneno mengi sana, roho yangu yanisukuma kusema. Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa nimejawa na maneno, nayo Roho iliyo ndani yangu inanisukuma; Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa nimejawa na maneno, nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa nimejaa maneno; Roho iliyo ndani yangu hunihimiza. |
Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene?
Moyo wangu ukawa moto ndani yangu, Na katika kuwaza kwangu moto ukawaka; Nilisema kwa ulimi wangu,
Nami nikisema, Sitamtaja, wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia.
Lakini nimejaa ghadhabu ya BWANA; nimechoka kwa kujizuia; imwageni juu ya watoto walio njiani, na juu ya kusanyiko la vijana pia; maana hata mume atatwaliwa pamoja na mkewe, mzee pamoja na yeye aliyetimiza siku zake.