Yobu 32:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi. Biblia Habari Njema - BHND “Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nyinyi mmeduwaa; mmeshindwa, nyinyi hamna cha kusema zaidi. Neno: Bibilia Takatifu “Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia. Neno: Maandiko Matakatifu “Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia. BIBLIA KISWAHILI Wameshangaa, hawajibu tena; Hawana neno la kusema. |
Na mimi, je! Ningoje, kwa sababu hawaneni, Kwa sababu wasimama kimya, wala wasijibu tena;
Na Mafarisayo waliposikia ya kwamba amewafumba kinywa wale Masadukayo, walifanya shauri pamoja.
Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena.