Yobu 31:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama nchi yangu imelia juu yangu, Na matuta yake hulia pamoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kama nimeiiba ardhi ninayoilima, nikasababisha mifereji yake iomboleze, Biblia Habari Njema - BHND Kama nimeiiba ardhi ninayoilima, nikasababisha mifereji yake iomboleze, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kama nimeiiba ardhi ninayoilima, nikasababisha mifereji yake iomboleze, Neno: Bibilia Takatifu “Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, Neno: Maandiko Matakatifu “Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, BIBLIA KISWAHILI Kama nchi yangu imelia juu yangu, Na matuta yake hulia pamoja; |
Na malisho yamejawa na kondoo, Na mabonde yamepambwa nafaka, Yanashangilia, na kuimba pamoja kwa shangwe.
Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, ninyi mliokosa kuwalipa kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa majeshi.