Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.
Yobu 30:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hung'oa mboga ya chumvi kwenye kichaka; Na mizizi ya mretemu ni chakula chao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio. Biblia Habari Njema - BHND Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walichuma mimea jangwani na majani msituni wakala, walikula hata mizizi ya mti wa mfagio. Neno: Bibilia Takatifu Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. Neno: Maandiko Matakatifu Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. BIBLIA KISWAHILI Hung'oa mboga ya chumvi kwenye kichaka; Na mizizi ya mretemu ni chakula chao. |
Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.
Ndipo Amosi akajibu akamwambia Amazia, Mimi sikuwa nabii, wala sikuwa mwana wa nabii; bali nilikuwa mchungaji, na mtunza mikuyu;
Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.