Yobu 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ayubu akajibu, na kusema; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yobu akasema: Biblia Habari Njema - BHND Yobu akasema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yobu akasema: Neno: Bibilia Takatifu Kisha akasema: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akasema: BIBLIA KISWAHILI Ayubu akajibu, na kusema; |
Na ipotelee mbali ile siku niliyozaliwa mimi, Na ule usiku uliosema, Mtoto wa kiume ametungishwa mimba.
Ndipo hao watu watano waliokwenda kuipeleleza nchi ya Laisha wakawaambia ndugu zao, Je! Ninyi mwajua ya kwamba mna naivera ndani ya nyumba hizi, na kinyago na sanamu ya kuchonga, na sanamu ya kusubu? Basi sasa fikirini iwapasayo kufanya.