Yobu 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakuu na wadogo wako huko; Mtumishi yuko huru kwa bwana wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao. Biblia Habari Njema - BHND Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakubwa na wadogo wako huko, nao watumwa wamepata uhuru mbali na bwana zao. Neno: Bibilia Takatifu Wadogo kwa wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake. Neno: Maandiko Matakatifu Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake. BIBLIA KISWAHILI Wakuu na wadogo wako huko; Mtumishi yuko huru kwa bwana wake. |
Udongo wa bondeni utakuwa tamu kwake, Na watu wote watafuata nyuma yake, Kama vile walivyomtangulia watu wasiohesabika.
Kwani najua kuwa utanileta hata kifoni, Niifikie nyumba waliyoaandaliwa wenye uhai wote.
Naam, wataogopa kilichoinuka Na vitisho vitakuwapo njiani; Na mlozi utachanua maua; Na panzi atakuwa ni mzigo mzito; Na pilipili hoho itapasuka; Maana mtu aiendea nyumba yake ya milele, Nao waombolezao wazunguka njiani.
Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho; Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa; Wala hakuna kuponyoka katika vita vile; Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.