Yobu 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Au, mbona kuzikwa kama mimba iliyoharibika, nisingekuwako; Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Au, mbona sikuwa kama mimba iliyoharibika, naam, kama mtoto aliyezaliwa mfu? Biblia Habari Njema - BHND Au, mbona sikuwa kama mimba iliyoharibika, naam, kama mtoto aliyezaliwa mfu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Au, mbona sikuwa kama mimba iliyoharibika, naam, kama mtoto aliyezaliwa mfu? Neno: Bibilia Takatifu Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? Neno: Maandiko Matakatifu Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? BIBLIA KISWAHILI Au, mbona kuzikwa kama mimba iliyoharibika, nisingekuwako; Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa. |
Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto.
naam, zaidi ya hao wote nikamwita heri yeye asiyekuwako bado, ambaye hakuyaona mabaya yanayotendeka chini ya jua.
Mtu akizaa watoto mia moja, akaishi miaka mingi, hata siku za maisha yake zikiwa nyingi, lakini nafsi yake haikushiba mema; tena ikiwa, zaidi ya hayo, amekosa maziko; mimi nasema, Heri mimba iliyoharibika kuliko huyo;