Akasema, Yuko mjakazi wangu, Bilha, uingie kwake ili kwamba azae kwa niaba yangu, nami nipate uzao kwa yeye.
Yobu 3:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mbona pawe na magoti ya kunipokea? Au hayo maziwa, hata nikanyonya? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nikapata kunyonya? Biblia Habari Njema - BHND Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nikapata kunyonya? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa nini mama yangu alinizaa? Kwa nini nikapata kunyonya? Neno: Bibilia Takatifu Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa? Neno: Maandiko Matakatifu Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa? BIBLIA KISWAHILI Mbona pawe na magoti ya kunipokea? Au hayo maziwa, hata nikanyonya? |
Akasema, Yuko mjakazi wangu, Bilha, uingie kwake ili kwamba azae kwa niaba yangu, nami nipate uzao kwa yeye.
Yusufu akaona wana wa Efraimu hata kizazi cha tatu; na wana wa Makiri, mwana wa Manase, walizaliwa magotini mwa Yusufu.
Maana BWANA asema hivi, Tazama, nitamwelekezea amani kama mto, na utukufu wa mataifa kama kijito kifurikacho, nanyi mtapata kunyonya; mtabebwa; na juu ya magoti mtabembelezwa.