Maana BWANA alikuwa ameyafunga matumbo ya watu wa nyumbani mwa Abimeleki, wasizae, kwa ajili ya Sara mkewe Abrahamu.
Yobu 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa sababu haukuifunga milango ya tumbo la mamangu. Wala kunifichia taabu machoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana usiku huo haukulifunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione. Biblia Habari Njema - BHND Maana usiku huo haukulifunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana usiku huo haukulifunga tumbo la mama, wala kuficha taabu nisizione. Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. Neno: Maandiko Matakatifu kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu haukuifunga milango ya tumbo la mamangu. Wala kunifichia taabu machoni. |
Maana BWANA alikuwa ameyafunga matumbo ya watu wa nyumbani mwa Abimeleki, wasizae, kwa ajili ya Sara mkewe Abrahamu.
BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Nyota za mapambazuko yake na ziwe giza; Na utafute mwanga lakini usiupate; Wala usiyaone mapambazuko;
Kwa hiyo ondoa majonzi moyoni mwako, nawe uuondoe ubaya mwilini mwako; kwa maana ujana ni ubatili, na utu uzima pia.
kwa sababu hakuniua nilipotoka tumboni, na hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, na mimba yake sikuzote nzito.
lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo.