Yobu 29:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Shina langu limeenea hata kufika majini, Na umande hukaa usiku kucha katika matawi yangu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi ni kama mti uliotandaza mizizi majini, umande wa usiku huburudisha matawi yangu. Biblia Habari Njema - BHND Mimi ni kama mti uliotandaza mizizi majini, umande wa usiku huburudisha matawi yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi ni kama mti uliotandaza mizizi majini, umande wa usiku huburudisha matawi yangu. Neno: Bibilia Takatifu Mizizi yangu itafika hata kwenye maji, nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha. Neno: Maandiko Matakatifu Mizizi yangu itafika mpaka kwenye maji, nao umande utakaa juu ya matawi yangu usiku kucha. BIBLIA KISWAHILI Shina langu limeenea hata kufika majini, Na umande hukaa usiku kucha katika matawi yangu; |
Ndipo niliposema, Nitakufa ndani ya kiota changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga;
Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.
Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa joto ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.