Ndipo niliposema, Nitakufa ndani ya kiota changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga;
Yobu 29:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nami nilizivunja taya za wasio haki, Na kumpokonya mawindo katika meno yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilizivunja nguvu za watu waovu, nikawafanya wawaachilie mateka wao. Biblia Habari Njema - BHND Nilizivunja nguvu za watu waovu, nikawafanya wawaachilie mateka wao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilizivunja nguvu za watu waovu, nikawafanya wawaachilie mateka wao. Neno: Bibilia Takatifu Niliyavunja meno makali ya waovu, na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. Neno: Maandiko Matakatifu Niliyavunja meno makali ya waovu, na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. BIBLIA KISWAHILI Nami nilizivunja taya za wasio haki, Na kumpokonya mawindo katika meno yake. |
Ndipo niliposema, Nitakufa ndani ya kiota changu, Nami nitaziongeza siku zangu kama mchanga;
Yeye hutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, Na kwa mashindano yaendeleayo daima mifupani mwake;
Simba mzee huangamia kwa kukosa mawindo, Nao watoto wa simba jike wametawanyika mbalimbali.
Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari.
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.
Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.
mimi hutoka nikamfuata, nikampiga, nikampokonya kinywani mwake; na akinirukia, humshika ndevu zake, nikampiga, nikamwua.