Yobu 29:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Sauti yao wakuu ilinyamaa, Na ndimi zao zilishikamana na makaakaa yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sauti za waheshimiwa zilinyamazishwa, na vinywa vyao vikafumbwa. Biblia Habari Njema - BHND Sauti za waheshimiwa zilinyamazishwa, na vinywa vyao vikafumbwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sauti za waheshimiwa zilinyamazishwa, na vinywa vyao vikafumbwa. Neno: Bibilia Takatifu wenye vyeo wakanyamazishwa, nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao. Neno: Maandiko Matakatifu wenye vyeo wakanyamazishwa, nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao. BIBLIA KISWAHILI Sauti yao wakuu ilinyamaa, Na ndimi zao zilishikamana na makaakaa yao. |
Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka. Nisipoikuza Yerusalemu Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
nami nitaufanya ulimi wako ugandamane na kaakaa lako, hata utakuwa bubu, wala hutakuwa mwonyaji kwao; kwa kuwa wao ni nyumba yenye kuasi.