Yobu 29:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha Ayubu akaendelea na hoja yake, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Yobu akaendelea na hoja yake, akasema: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Yobu akaendelea na hoja yake, akasema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Yobu akaendelea na hoja yake, akasema: Neno: Bibilia Takatifu Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: Neno: Maandiko Matakatifu Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: BIBLIA KISWAHILI Kisha Ayubu akaendelea na hoja yake, na kusema, |
Akatunga mithali yake, akasema, Balaki amenileta kutoka Aramu, Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki, Njoo! Unilaanie Yakobo, Njoo! Unishutumie Israeli.
Akatunga mithali yake, akasema, Balaamu mwana wa Beori asema, Yule mtu aliyefumbuliwa macho asema;