Yobu 28:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wanyama wakali wajivunao hawajaikanyaga, Wala simba mkali hajaipita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanyama waendao kwa madaha hawajazikanyaga wala simba hawajawahi kuzipitia. Biblia Habari Njema - BHND Wanyama waendao kwa madaha hawajazikanyaga wala simba hawajawahi kuzipitia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanyama waendao kwa madaha hawajazikanyaga wala simba hawajawahi kuzipitia. Neno: Bibilia Takatifu Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, wala simba azungukaye huko. Neno: Maandiko Matakatifu Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, wala simba azungukaye huko. BIBLIA KISWAHILI Wanyama wakali wajivunao hawajaikanyaga, Wala simba mkali hajaipita. |