Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Yobu 28:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Njia ile hapana ndege mkali aijuaye, Wala jicho la tai halijaiona; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona. Biblia Habari Njema - BHND “Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Njia za kwenda kwenye migodi hiyo hakuna ndege mla nyama azijuaye; na wala jicho la tai halijaiona. Neno: Bibilia Takatifu Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. BIBLIA KISWAHILI Njia ile hapana ndege mkali aijuaye, Wala jicho la tai halijaiona; |
Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazieleweki!