Haiwezi kutiwa thamani kwa dhahabu ya Ofiri, Wala kwa shohamu ya thamani nyingi, wala kwa yakuti samawi.
Yobu 28:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mawe yake ni mahali zipatikanapo yakuti; Nayo ina mchanga wa dhahabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Katika mawe yake ndimo vilimo vito vya rangi ya samawati na udongo wake una vumbi la dhahabu. Biblia Habari Njema - BHND Katika mawe yake ndimo vilimo vito vya rangi ya samawati na udongo wake una vumbi la dhahabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Katika mawe yake ndimo vilimo vito vya rangi ya samawati na udongo wake una vumbi la dhahabu. Neno: Bibilia Takatifu yakuti samawi hutoka katika miamba yake, nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu. Neno: Maandiko Matakatifu yakuti samawi hutoka katika miamba yake, nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu. BIBLIA KISWAHILI Mawe yake ni mahali zipatikanapo yakuti; Nayo ina mchanga wa dhahabu. |
Haiwezi kutiwa thamani kwa dhahabu ya Ofiri, Wala kwa shohamu ya thamani nyingi, wala kwa yakuti samawi.
wakamwona Mungu wa Israeli; chini ya miguu yake palikuwa na kama sakafu iliyofanyizwa kwa yakuti samawi, kama zile mbingu zenyewe kwa usafi wake.
Mikono yake ni kama mianzi ya dhahabu, lliyopambwa kwa zabarajadi; Kiwiliwili chake kama kazi ya pembe, Iliyonakishiwa kwa yakuti samawi;
Ewe uliyeteswa, uliyerushwa na tufani, usiyetulizwa, tazama, nitaweka mawe yako kwa rangi nzuri, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi.
Na misingi ya ukuta wa mji ilikuwa imepambwa kwa vito vya thamani vya kila namna. Msingi wa kwanza ulikuwa yaspi; wa pili yakuti samawati; wa tatu kalkedoni; wa nne zumaridi;