Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mmea utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa chakula chenu;
Yobu 28:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Katika ardhi ndimo kitokeamo chakula; Na chini yake hupinduliwa kama kwa moto. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka udongoni chakula hupatikana, lakini chini yake kila kitu huvurugwa kwa moto. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka udongoni chakula hupatikana, lakini chini yake kila kitu huvurugwa kwa moto. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka udongoni chakula hupatikana, lakini chini yake kila kitu huvurugwa kwa moto. Neno: Bibilia Takatifu Ardhi, ambako chakula hutoka, chini hugeuzwa kwa moto; Neno: Maandiko Matakatifu Ardhi, ambako chakula hutoka, chini hugeuzwa kwa moto; BIBLIA KISWAHILI Katika ardhi ndimo kitokeamo chakula; Na chini yake hupinduliwa kama kwa moto. |
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mmea utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa chakula chenu;
Hufukua shimo mbali na makao ya watu; Husahauliwa na nyayo zipitazo; Huning'inia mbali na watu, huyumbayumba huku na huko.