Yobu 28:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo alipoiona na kuitangaza; Aliithibitisha, naam, na kuichunguza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.” Biblia Habari Njema - BHND hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza hapo ndipo alipoiona hekima na kuitangaza, aliisimika na kuichunguza.” Neno: Bibilia Takatifu ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha. Neno: Maandiko Matakatifu ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha. BIBLIA KISWAHILI Ndipo alipoiona na kuitangaza; Aliithibitisha, naam, na kuichunguza. |
Kisha akamwambia mwanadamu, Tazama, kumcha Bwana ndiyo hekima, Na kujitenga na uovu ndio ufahamu.