Yobu 28:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Apate kuufanyia upepo uzito wake; Naam, anayapima maji kwa kipimo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake; Biblia Habari Njema - BHND Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipoupa upepo uzito wake, na kuyapimia maji mipaka yake; Neno: Bibilia Takatifu Alipoufanyia upepo nguvu zake na kuyapima maji, Neno: Maandiko Matakatifu Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji, BIBLIA KISWAHILI Apate kuufanyia upepo uzito wake; Naam, anayapima maji kwa kipimo. |
Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake – hakika unajua! Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake?
Au ni nani aliyeifunga bahari kwa milango, Hapo ilipotoka kwa nguvu kama kwamba imetoka tumboni mwa nchi.
Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika ghala zake.
Ni nani aliyeyapima maji kwa konzi ya mkono wake, na kuzikadiria mbingu kwa shubiri, na kuyashika mavumbi ya dunia katika pishi, na kuipima milima kwa uzani, na vilima kama kwa mizani?