Yobu 28:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuwa imefichwa mbali na macho ya wote walio hai, Na kusitirika na ndege wa angani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona. Biblia Habari Njema - BHND Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona. Neno: Bibilia Takatifu Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. Neno: Maandiko Matakatifu Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa imefichwa mbali na macho ya wote walio hai, Na kusitirika na ndege wa angani. |
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Kwa maana, amin, nawaambia, Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi, wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi, wasiyasikie.
ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, Nitafumbua kinywa changu kwa mifano, Nitayatamka yaliyositirika tangu kuumbwa kwa ulimwengu.