Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Yobu 28:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Vilindi vyasema, Haimo ndani yangu; Na bahari yasema, Haiko kwangu.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Vilindi vyasema, ‘Hekima haimo kwetu,’ na bahari yasema, ‘Haiko kwangu.’

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Vilindi vyasema, ‘Hekima haimo kwetu,’ na bahari yasema, ‘Haiko kwangu.’

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Vilindi vyasema, ‘Hekima haimo kwetu,’ na bahari yasema, ‘Haiko kwangu.’

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Kilindi husema, “Haiko ndani yangu”; bahari nayo husema, “Haiko pamoja nami.”

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Vilindi vyasema, Haimo ndani yangu; Na bahari yasema, Haiko kwangu.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Yobu 28:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.

Haipatikani kwa dhahabu, Wala fedha haitapimwa iwe thamani yake.

Hufanya mapito yake kung'aa nyuma yake Hata mtu angedhani kilindi kina mvi.