Yobu 28:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichositirika hukifunua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika. Biblia Habari Njema - BHND Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huziba chemchemi zisitiririke, na kufichua vitu vilivyofichika. Neno: Bibilia Takatifu Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. Neno: Maandiko Matakatifu Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. BIBLIA KISWAHILI Hufunga vijito visichuruzike; Na kitu kilichositirika hukifunua. |
Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulika yaliyositirika katika giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.