Yobu 28:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hukata mifereji kati ya majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani. Biblia Habari Njema - BHND Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hupasua mifereji kati ya majabali, na jicho lake huona vito vya thamani. Neno: Bibilia Takatifu Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote. Neno: Maandiko Matakatifu Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote. BIBLIA KISWAHILI Hukata mifereji kati ya majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani. |
Uta wako ukafanywa wazi kabisa; Viapo walivyopewa kabila vilikuwa neno thabiti; Ukaipasua nchi kwa mito.