Atang'olewa katika hema yake aliyokuwa akiitumaini; Naye atapelekwa kwake mfalme wa vitisho.
Yobu 27:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye hujenga nyumba yake kama mdudu, Na kama kibanda afanyacho mlinzi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani. Biblia Habari Njema - BHND Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyumba ajengayo mwovu ni kama utando wa buibui, ni kama kibanda cha mlinzi shambani. Neno: Bibilia Takatifu Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, kama kibanda alichotengeneza mlinzi. Neno: Maandiko Matakatifu Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, kama kibanda alichotengeneza mlinzi. BIBLIA KISWAHILI Yeye hujenga nyumba yake kama mdudu, Na kama kibanda afanyacho mlinzi. |
Atang'olewa katika hema yake aliyokuwa akiitumaini; Naye atapelekwa kwake mfalme wa vitisho.
Na binti Sayuni ameachwa kama kibanda katika shamba la mizabibu, kama kipenu katika shamba la matango, kama mji uliohusuriwa.
Makao yangu yameondolewa kabisa, yamechukuliwa kama hema ya mchungaji; Nimekunja maisha yangu kama mfumaji; atanikatilia mbali na kitanda cha mfumi; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.
Maana nondo atawala kama vazi, na funza atawala kama sufu; bali haki yangu itakuwa ya milele, na wokovu wangu hata vizazi vyote.
Naye ameondoa maskani yake kwa nguvu, Kana kwamba ni ya bustani tu; Ameziharibu sikukuu zake; BWANA amezisahaulisha katika Sayuni Sikukuu na sabato; Naye amewadharau mfalme na kuhani Katika uchungu wa hasira yake.