Yobu 27:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha Ayubu akaendelea na hoja yake, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yobu akaendelea kutoa hoja yake, akasema: Biblia Habari Njema - BHND Yobu akaendelea kutoa hoja yake, akasema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yobu akaendelea kutoa hoja yake, akasema: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: BIBLIA KISWAHILI Kisha Ayubu akaendelea na hoja yake, na kusema, |
Akatunga mithali yake, akasema, Balaki amenileta kutoka Aramu, Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki, Njoo! Unilaanie Yakobo, Njoo! Unishutumie Israeli.
Akatunga mithali yake akasema, Balaamu mwana wa Beori asema, Yule mtu aliyefumbwa macho asema,
Akatunga mithali yake, akasema, Balaamu mwana wa Beori asema, Yule mtu aliyefumbuliwa macho asema;