Yobu 26:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Husitiri uso wa kiti chake cha enzi, Na kulitandaza wingu lake juu yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huufunika uso wa mwezi na kutandaza juu yake wingu. Biblia Habari Njema - BHND Huufunika uso wa mwezi na kutandaza juu yake wingu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huufunika uso wa mwezi na kutandaza juu yake wingu. Neno: Bibilia Takatifu Huufunika uso wa mwezi mpevu, akitandaza mawingu juu yake. Neno: Maandiko Matakatifu Huufunika uso wa mwezi mpevu, akitandaza mawingu juu yake. BIBLIA KISWAHILI Husitiri uso wa kiti chake cha enzi, Na kulitandaza wingu lake juu yake. |
Asikwee mtu pamoja nawe, wala asionekane mtu yeyote katika huo mlima; wala kondoo na ng'ombe wasilishwe mbele ya huo mlima.
ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.